Rashid Abdallah Shangazi (amezaliwa tar. 5 Septemba 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mlalo kwa mwaka 2015 – 2020. [1]