Mto Walesa unapatikana katika kaunti ya Tana River, kusini mashariki mwa Kenya (eneo la pwani).

Maji yake yanaishia katika Mto Tana na hatimaye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje