4°59′29″N 35°19′39″E / 4.99139°N 35.32750°E
Pembetatu ya Ilemi ni eneo la kilometa mraba 10,320-14,000 hivi kaskazini magharibi kwa ziwa Turkana (Afrika Mashariki) linalogombaniwa na Sudan Kusini na Kenya mpakani mwa Ethiopia[1][2][3]. Kwa sasa inatawaliwa na Kenya.
((cite book))
: Check |first=
value (help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Pembetatu ya Ilemi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |