Mto Mathare unapatikana katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Nairobi, halafu Mto Athi na hatimaye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje