Mto Lagh Haro ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]