Mto Kurru unapatikana katika kaunti ya Isiolo, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje