Mto Kanyangareng unapatikana kaskazini-magharibi mwa Kenya, kuanzia mpakani mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje