Mtikiti (Citrullus na Cucumis spp.)
Mtikiti-maji (Citrullus lanatus)
Mtikiti-maji
(Citrullus lanatus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Cucurbitales (Mimea kama mboga)
Familia: Cucurbitaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mboga)
Jenasi: Citrullus/Cucumis
Schrad. ex Eckl. & Zeyh. / L.
Spishi:
  • Citrullus amarus Schrad.
  • Citrullus colocynthis (L.) Schrad.
  • Citrullus ecirrhosus Cogn.
  • Citrullus lanatus (Thunb.) Matsum. & Nakai
  • Cucumis humifructus Stent
  • Cucumis melo L.
  • Cucumis myriocarpus Naudin

Mitikiti, ni mimea ya jenasi Citrullus na Cucumis katika familia Cucurbitaceae. Hukuzwa sana katika kanda za tropiki na nusutropiki kwa ajili ya matunda yao makubwa yanayoitwa matikiti.

Spishi zilizochaguliwa

Picha