Mboga
|
Mboga-refu (Cucurbita moschata)
|
Uainishaji wa kisayansi
|
Himaya:
|
Plantae (Mimea)
|
(bila tabaka):
|
Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
|
(bila tabaka):
|
Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
|
(bila tabaka):
|
Rosids (Mimea kama mwaridi)
|
Oda:
|
Cucurbitales (Mimea kama mboga)
|
Familia:
|
Cucurbitaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mboga)
|
Jenasi:
|
|
|
Miboga, pia milenge, ni mimea ya familia Cucurbitaceae kwenye jenasi Cucurbita, Momordica na Coccinia. Hukuzwa sana duniani kokote kwa ajili ya matunda yao makubwa yanayoitwa maboga.
-
Mrihu (mboga-mwitu)
-
Mboga-kubwa
-
Mboga-refu
-
Mboga-chupa
-
Mlenge
-
Maboga meupe
-
Mboga-dogo
-
Mkarela (mboga-chungu)