Kiunga | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Lamu |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 3,310 |
Kiunga ni kata ya kaunti ya Lamu, eneo bunge la Lamu Mashariki, mashariki mwa Kenya[1].
Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kaskazini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kiunga (Lamu) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |