Hassan Athumani Ngwilizi (amezaliwa 1 Aprili, 1944) ni mbunge wa jimbo la Mlalo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.