Ewaso Rongai ni mto unaopatikana magharibi mwa Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ewaso Rongai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |