Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kitutu Masaba ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo ya uchaguzi ya Kaunti ya Nyamira.
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Mchango |
---|---|---|---|
1988 | Augustus Momanyi | KANU | Mfumo wa Chama kimoja. |
1992 | George Anyona | KSC | |
1997 | George Anyona | KSC | |
2002 | Samson Nyangau Okioma | Ford-People | |
2007 | Walter Nyambati | NLP |
Wodi za Uchaguzi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliosajiliwa | Utawala wa Mji |
---|---|---|
Bocharia | 1,815 | Keroka (mji) |
Gachuba | 10,527 | Nyamira (County) |
Gesima | 7,229 | Nyamira (County) |
Getare | 1,501 | Kisii (Munisipali) |
Kemera | 8,673 | Nyamira (County) |
Magombo | 8,912 | Nyamira (County) |
Manga | 10,608 | Nyamira (County) |
Mochenwa | 4,931 | Nyamira (County) |
Nyankoba | 3,232 | Keroka (Mji) |
Nyasore | 3,101 | Keroka (Mji) |
Rigoma | 5,319 | Nyamira (County) |
Total | 65,848 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kitutu Masaba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |