Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kisauni ni moja kati ya Majimbo 290 ya uchaguzi Nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Mombasa, miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo. Lina wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Manisipaa ya Mombasa.
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988 huku mbunge wake wa kwanza akiwa Said Hemed Said. Wa chama cha KANU, wakati Kenya ilikuwa na mfumo wa chama kimoja.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Said Hemed Said | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Rashid M. Mzee | Ford-Kenya | |
1997 | Emmanuel Karisa Maitha | DP | |
2002 | Emmanuel Karisa Maitha | NARC | Maitha aliaga dunia Mnamo 2004 |
2005 | Ananiah Mwaboza | LPK | Uchaguzi Mdogo |
2007 | Hassan Ali Joho | ODM |
Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Bamburi | 45,294 |
Ganjoni | 18,791 |
Kisauni | 117,889 |
Kongowea | 86,678 |
Majengo | 40,241 |
Mombasa Old Town | 21,516 |
Jumla | x |
*Hesabu 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
---|---|
Bamburi | 16,108 |
Frere Town | 12,154 |
Kizingo | 8,661 |
Kongowea | 13,935 |
Maweni | 13,688 |
Mjambere | 9,476 |
Mji wa Kale / Makadara | 15,243 |
Mwakirunge | 4,136 |
Jumla | 93,401 |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kisauni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |