Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kikuyu ni mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika Kaunti ya Kiambu miongoni mwa majimbo kumi na mawili ya kaunti hiyo.
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988. Kuanzia uchaguzi wa 1988 hadi ule wa 2002, jimbo hili lilikuwa likijulikana kama Jimbo la Uchaguzi la Kabete.
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Joseph Kararahe Gatuguta | KANU | |
1969 | Joseph Kararahe Gatuguta | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Amos Ng’ang’a | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Amos Ng'ang'a | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1980 | Charles Njonjo | KANU | Uchaguzi Mdogo. Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Peter Kabibi Kinyanjui | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Peter Kabibi Kinyanjui | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Paul Kibugi Muite | Ford-K | |
1997 | Paul Kibugi Muite | Safina | |
2002 | Paul Kibugi Muite | Safina | |
2007 | Lewis Nguyai Nganga | PNU |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
Baraza la Utawala wa Mtaa |
---|---|---|
Kabete | 11,479 | Kikuyu (mji) |
Karai | 12,602 | Kiambu county |
Kikuyu | 17,510 | Kikuyu (mji) |
Kinoo | 15,707 | Kikuyu (mji) |
Muguga | 14,475 | Kikuyu (mji) |
Nyathuna | 11,572 | Kikuyu (mji) |
Jumla | 83,345 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kikuyu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |