Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kiambaa ni mojawapo ya Majimbo 290 nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili katika Kaunti ya Kiambu.
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.
Uchaguzi | MP [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Mbiyu Koinange | KANU | |
1969 | Mbiyu Koinange | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Mbiyu Koinange | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Njenga Karume | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Njenga Karume | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Njenga Karume | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | J. Kamau Icharia | Ford-Asili | |
1997 | Njenga Karume | DP | |
2002 | Njenga Karume | KANU | |
2007 | Stanley Munga Githunguri | KANU |
kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Cianda | 13,441 |
Kamiti | 7,496 |
Kiambaa | 44,859 |
Kiambaa Settled Area | 18,337 |
Kihara | 36,710 |
Ndumberi | 20,396 |
Riabai | 21,068 |
Ruaka | 15,348 |
Ting'ang'a | 14,290 |
Waguthu | 21,363 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Baraza la Utawala wa Mtaa |
---|---|---|
Cianda | 5,433 | Kiambu county |
Kanunga | 6,033 | Kiambu (Mji) |
Kiambaa | 14,155 | Karuri (Mji) |
Kihara | 12,333 | Karuri (Mji) |
Kihingo | 2,714 | Kiambu (Mji) |
Muchatha | 8,712 | Karuri (Mji) |
Ndenderu | 6,683 | Karuri (Mji) |
Ndumberi | 6,818 | Kiambu (Mji) |
Riabai | 2,826 | Kiambu (Mji) |
Technology | 4,820 | Kiambu (Mji) |
Ting'ang'a | 9,027 | Kiambu county |
Township | 10,801 | Kiambu town |
Jumla | 90,355 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kiambaa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |