De La Soul | |
---|---|
De La Soul mjini Berlin (2004)
David Jude Jolicoeur aka Dave (kushoto), Vincent Mason aka Maseo (wa katikati) na Kelvin Mercer aka Posdnous (kulia) | |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | East Massapequa / Amityville, Long Island, New York, Marekani[1] |
Aina ya muziki | Alternative hip hop |
Miaka ya kazi | 1987–present |
Studio | Tommy Boy/Warner Bros. Records Sanctuary/BMG Records |
Ame/Wameshirikiana na | Prince Paul, A Tribe Called Quest, Mos Def, Jungle Brothers, Queen Latifah, Monie Love, Black Sheep, Gorillaz, dan le sac vs Scroobius Pip |
Wanachama wa sasa | |
Posdnuos Dave Maseo |
De La Soul ni kundi la muziki wa hip hop linalounganishwa na wasanii kutoka mjini Long Island, New York, Marekani.[2] Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1987. Kundi linafahamika sana kwa mtindo wao wa kuchukua sampuli za nyimbo nyingine na kufanya sampuli hizo kiumeme-umeme na mchango wao mkubwa katika kueneza mtindo wa jazz rap na alternative hip hop.
Wanachama wa kundi ni pamoja na Kelvin Mercer, David Jude Jolicoeur na Vincent Mason, wanafahamika kwa majina kadhaa ya utani. Watatu hao walianzisha kundi hili wakiwa sekondari na kupata mtawasha wa mtayarishaji wa rekodi za muziki wa hip hop bwana Prince Paul wakiwa na tepu ya mfano ya wimbo wa "Plug Tunin'".
Posdnuos · Dave · Maseo | |
Studio albums | 3 Feet High and Rising ·De La Soul Is Dead ·Buhloone Mindstate ·Stakes Is High ·Art Official Intelligence: Mosaic Thump ·AOI: Bionix ·The Grind Date ·Are You In?: Nike+ Original Run |
Singles | "Potholes in My Lawn" · "Plug Tunin'" · "Buddy" · "Eye Know" · "Me Myself and I" · "Say No Go" ·"The Magic Number" · "A Roller Skating Jam Named "Saturdays"" · "Ring Ring Ring (Ha Ha Hey)" · "Millie Pulled a Pistol on Santa/Keepin' the Faith" · "Breakadawn" · "Ego Trippin' (Part Two)" · "Fallin'" · "Stakes Is High" · "Itzsoweezee (HOT)" · "4 More" · "Oooh." · "All Good?" · "Thru Ya City" · "Baby Phat" · "Say "I Gotta Believe!"" · "Shoomp/Much More" · "Shopping Bags (She Got from You)" · "Rock Co.Kane Flow" · "Feel Good Inc." · "Superfast Jellyfish" |
Compilations | Clear Lake Audiotorium · The Best of De La Soul · De La Mix Tape: Remixes, Rarities and Classics ·Live at Tramps, NYC, 1996 ·Days Off EP · The Impossible: Mission TV Series - Pt. 1 |
Related | Discography · Native Tongues Posse · Prince Paul |