Bryson Tiller | |
---|---|
Tiller, 2016
| |
Maelezo ya awali | |
Aina ya muziki | R&B, hip hop |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo |
Miaka ya kazi | 2011–hadi sasa |
Studio | RCA |
Tovuti | trapsoul.com |
Bryson Djuan Tiller (amezaliwa 2 Januari, 1993) ni msanii wa rekodi nchini Marekani. Amepata kupata kutoa albamu zake mbili: Trapsoul na True to Self.[1]
((cite web))
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bryson Tiller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |