Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa Kwania ni ziwa dogo la Uganda kaskazini kwa Ikweta.

Ziwa hilo hupokea maji kutoka mto Adip na mto Abalang na huyamwaga katika Viktoria Nile.

Marejeo

Viungo vya nje