Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa Kijanebalola ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Rakai.

Ziwa hilo lina eneo la kilometa mraba 38.89.

Ndani yake hupatikana kisiwa cha Kisozi na kisiwa cha Kinoni.

Marejeo

Viungo vya nje