0°38′N 36°05′E / 0.633°N 36.083°E / 0.633; 36.083Coordinates: 0°38′N 36°05′E / 0.633°N 36.083°E / 0.633; 36.083 Ziwa Baringo linapatikana katika Bonde la Ufa, kaskazini mwa Kenya, lina eneo la km2 130, na liko mita 970 juu ya usawa wa bahari.

Linalishwa na mito mbalimbali, ikiwemo mto Molo, mto Perkerra na mto Ol Arabel, lakini halina mito inayotoka.

Visiwa vinavyopatikana ndani ya ziwa

Tazama pia

Orodha ya maziwa ya Kenya

Viungo vya nje

[1] [2] [3] [4]

Tanbihi

  1. Lake Baringo sa Geonames.org (cc-by); post updated 2013-09-06; database download sa 2016-09-13
  2. Peel, M C; Finlayson, B L. "Updated world map of the Köppen-Geiger climate classification". Hydrology and Earth System Sciences 11: 1633-1644. doi:10.5194/hess-11-1633-2007 . http://www.hydrol-earth-syst-sci.net/11/1633/2007/hess-11-1633-2007.html. Retrieved 30 Enero 2016.
  3. NASA Earth Observations Data Set Index. NASA. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-08-06. Iliwekwa mnamo 2019-02-13.
  4. NASA Earth Observations: Rainfall (1 month - TRMM). NASA/Tropical Rainfall Monitoring Mission. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-04-13. Iliwekwa mnamo 2019-02-13.