Young Africans S.C. Jina la utani Yanga (Swahili) Imeanzishwa 11Feb 1935 Uwanja Benjamin Mkapa National Stadium (Uwezo: 62,000) Mwenyekiti Mshindo Msola Meneja Senzo Mazingiza Kocha Nasreddine Nabi Ligi Tanzania Premier League, Vodacom Premier League Tovuti tovuti ya klabu
Young Africans S.C. (maarufu kama Yanga , jina kamili ni Young Africans Sports Club ) ni timu ya soka ya nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 , inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara . Jina la utani Timu ya Wananchi au Wanajangwani .
Imepata kuwa mabingwa mara 30 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.[ 1]
Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.[ 2]
Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
Ligi Kuu ya Tanzania inaruhusu wachezaji wa nje kumi. Yanga kwa sasa wanatumia wachezaji wa kigeni wafuatao:
Ofisi kuu za Young Africans zilizoko barabara ya Twiga, Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania Mashariki Ligi Kuu Tanzania [ 3]
'Mabingwa ( 1968, 1969, 1970, 1971, 1972, 1, 2008–09, 2010–11, 2012–13, 2016–17 , 2021–22 , 2022–23
Kombe la FA Tanzania [ 4]
Mabingwa (3): 1975, 1994, 1999
Makombe (1): 2001
Kombe la FAT [ 5]
Mabingwa (3): 2015–16, 2021/22, 2022/23
Makombe (2): 1996, 2021
Kombe la Tusker [ 4]
Mabingwa (7): 1986,1992,1987,2000,2005,2007, 2009
Makombe (3): 2001, 2002, 2005.
Kombe la Mapinduzi [ 4]
Mabingwa (3): 2003,2004, 2021
Makombe (1): 2011
Ngao ya Jamii [ 4]
Mabingwa (7): 2001, 2010, 2013, 2014, 2015, 2021,2022
Makombe (7): 2002, 2005,2013,2009, 2011, 2016, 2017Kombe la CECAFA [ 6]
Mabingwa (5): 1975, 1993, 1999, 2011 , 2012
Makombe (3): 1976, 1986, 1990Kombe la Shirikisho la CAF
1997 – Raundi ya Awali
1998 – Hatua ya Makundi (Nane Bora)
2001 – Raundi ya Pili
2006 – Raundi ya Awali
2007 – Raundi ya Pili
2009 – Raundi ya Kwanza
2010 – Raundi ya Awali
2012 – Raundi ya Awali
2014 – Raundi ya Kwanza
2016 – Raundi ya Pili
2017 – Raundi ya Kwanza
2022 – Raundi ya Kwanza
2023 – Robo fainali
1969 – Robo-fainali
1970 – Robo-fainali
1971 – Kujitoa katika Raundi ya Pili
1972 – Raundi ya Kwanza
1973 – Raundi ya Kwanza
1975 – Raundi ya Pili
1982 – Raundi ya Pili
1984 – Raundi ya Kwanza
1988 – Raundi ya Kwanza
1992 – Raundi ya Kwanza
1996 – Raundi ya Awali
Kombe la Shirikisho la CAF: Onyesho 6
2007 – Raundi ya Kati
2008 – Raundi ya Kwanza
2011 – Raundi ya Awali
2016 – Hatua ya Makundi (Nane Bora)
2018 – Hatua ya Makundi (16 Bora)
2022–23 – Mshindi wa Pili
1994 – Raundi ya Kwanza
1999 – Raundi ya Kwanza Kombe la Washindi wa Mataji la CAF: Onyesho 2 1995 – Robo-fainali
2000 – Raundi ya Kwanza Nembo ya zamani
↑ "Young Africans live score, schedule and results - Football - SofaScore" . www.sofascore.com . Iliwekwa mnamo 2021-01-02 .
↑ "Young Africans News | Goal.com" . www.goal.com . Iliwekwa mnamo 2021-01-02 .
↑ "Tanzania – List of Champions" . RSSSF . Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-01-16. Iliwekwa mnamo 2020-12-31 .
↑ 4.0 4.1 4.2 4.3 "Tanzania – List of Cup Winners" . RSSSF . Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-31 .
↑ "Tanzania – List of Cup Winners" . RSSSF . Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-31 .
↑ "CECAFA Club Championship" . RSSSF . Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-12. Iliwekwa mnamo 2020-12-31 .
↑ "CAF - News Center - News - NewsDetails" . www.cafonline.com . Iliwekwa mnamo 2020-10-02 .