Ligi ya Mabingwa Afrika[1] (Kiingereza: CAF Champions League), ambayo zamani ilikuwa Kombe la Klabu Bingwa Afrika, ni mashindano ya kila mwaka ya kandanda yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na kuzikutanisha vilabu bora zaidi barani Afrika. Ndiyo yenye hadhi zaidi ya vikombe vya vilabu vya Afrika.

Mshindi wa shindano anahitimu kiotomatiki kwa toleo linalofuata. Pia amefuzu kwa Kombe la CAF Super Cup pamoja na Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA. Al Ahly SC ndiyo klabu yenye mafanikio makubwa zaidi katika historia ya mashindano hayo ikiwa na mataji 10.

Washindi wote

[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Simba kuanza hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika", Simba S.C., 13 Agosti 2021. (sw) 

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Ligi ya Mabingwa Afrika kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.