Wasoga ni kabila la Kibantu linaloishi hasa mashariki mwa Uganda (wilaya ya Kamuli, wilaya ya Iganga, wilaya ya Bugiri, wilaya ya Mayuge, wilaya ya Jinja, wilaya ya Luuka, wilaya ya Kaliro, wilaya ya Busiki).

Lugha yao ni Kisoga (wao wanasema Lusoga) ambayo inazungumzwa na watu 3,000,000 hivi[1].

Leo wengi wao ni Wakristo.

Tanbihi

  1. "The National Population and Housing Census 2014 – Main Report". Uganda Bureau of Statistics. 2016. Iliwekwa mnamo 28 June 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasoga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.