Mwanamume Mmadi mwishoni mwa miaka ya 1870 huko Sudan Kusini.

Wamadi ni kabila la watu wanaoishi kaskazini mwa Uganda (Wilaya ya Adjumani na Wilaya ya Moyo) na kusini mwa Sudan Kusini.

Wanakadiriwa kuwa zaidi ya 400,000.

Lugha ya wengi wao ni Kimadi (Madi ti), mojawapo kati ya lugha za Kisudani na leo dini yao ni Ukristo, lakini pia Uislamu.

Tanbihi

Marejeo

Search Wikisource Wikisource has the text of the 1911 Encyclopædia Britannica article Madi.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wamadi
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamadi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.