Nguzo ya kituo cha jiodesia (1855) huko Ostend, Ubelgiji.

Upimaji dunia au Jiodesia (kutoka Kigiriki: γεωδαισία, geodaisia, yaani mgawanyo wa dunia; pia: Jiodisi kupitia Kiingereza "Geodesy") ni sayansi ya dunia inayohusika na upimaji na uelewaji wa umbo lake, mwelekeo wake angani, na uvutano wake.

Utafiti wake unaenea katika mabadiliko ya tabia hizo za dunia na katika zile za sayari nyingine.

Wanajiodesia maarufu

[hariri | hariri chanzo]

Kabla ya mwaka 1900

[hariri | hariri chanzo]

Karne ya 20

[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]
  1. "DEFENSE MAPPING AGENCY TECHNICAL REPORT 80-003". Ngs.noaa.gov. Iliwekwa mnamo 8 Desemba 2018.((cite web)): CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Guy Bomford tribute". Bomford.net. Iliwekwa mnamo 8 Desemba 2018.((cite web)): CS1 maint: date auto-translated (link)

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Search Wikibooks Wikibooks has more on the topic of
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Upimaji dunia
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upimaji dunia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.