Nilinakili ujumbe huu kutoka User talk:Matt Crypto. Matt Crypto 19:55, 19 Aprili 2006 (UTC)[jibu]

Nimeona sasa tu ya kwmaba "category" imetafsiriwa kwa "babu". Sidhani ya kwamba inafaa. Haieleweki. "Jamii" au "Kundi" ni sawa. Kamusi zote za TUKI hazina Babu kwa maana hiyo, iko katika Madan-Johnson tu. --Kipala 18:31, 19 Aprili 2006 (UTC)[jibu]

Ni poa tu. Mimi nilitumia "Kamusi Project" kwa kutafsiri "Category", lakini ukiamini kwamba haifai, unaweza kuibadilisha iwe "Jamii" au "Kundi". Mimi ningependelea "Jamii", lakini sina uhakika. Marcos 14:03, 20 Aprili 2006 (UTC)[jibu]
Nitaje "aina" na "jinsi" pia, lakini sijui kamwe zikifaa. Matt Crypto 23:34, 20 Aprili 2006 (UTC)[jibu]