Mandhari ya Lourdes pamoja na Basilika la Rozari.
Sanamu ya Bikira Maria katika pango la Lourdes.
Mozaiki katika Basilika.

Lourdes (matamshi: [luʀd]) ni mji mdogo (wakazi 15,000) chini ya milima ya Pirenei nchini Ufaransa.

Inatembelewa na watu zaidi ya milioni 5 kwa mwaka kutoka na njozi za mwaka 1858, ambazo Kanisa Katoliki limethibitisha kwamba kweli Bikira Maria alimtokea msichana Bernadeta Soubirous.

Kanisa hilo limethibitisha pia miujiza 70 iliyotokana na maombezi ya Bikira Maria kuwa haielezeki kisayansi.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Lourdes
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lourdes kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.