Lemuri-sufu
Lemuri-sufu mashariki
Uainishaji wa kisayansi
Domeni:
Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya:
Animalia (Wanyama)
Faila:
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:
Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda:
Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu )
Nusuoda:
Strepsirrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na lemuri )
Oda ya chini:
Lemuriformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu:
Lemuroidea (Lemuri)
Familia:
Indriidae (Lemuri walio na mnasaba na indri)
Jenasi:
Avahi Jourdan, 1834
Ngazi za chini
Spishi 9
A. betsileo Andriantompohavana et al. , 2007
A. cleesei Thalmann & Geissmann, 2005
A. laniger (Gmelin, 1788)
A. meridionalis Zaramody et al. , 2006
A. mooreorum Lei, 2008
A. occidentalis Lorenz von Liburnau, 1898
A. peyrierasi Zaramody et al. , 2006
A. ramanantsoavanai Zaramody et al. , 2006
A. unicolor Thalmann & Geissmann, 2005
Lemuri-sufu (kutoka Kiingereza : woolly lemur ) ni spishi za lemuri wa jenasi Avahi katika familia Indriidae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Manyoya yao ni laini na ya kusokotwa kama sufu . Wana rangi ya kahawiakijivu hadi kahawianyekundu na mkia una rangi ya kahawiamachungwa. Iko rangi ya nyeupe nyuma ya mapaja . Mwili wa wanyama hawa una urefu wa sm 30-50 na uzito wao ni g 60-1200, kwa hivyo wao ni spishi ndogo kuliko nyingine za familia hii. Hula majani hasa na pengine matumba na maua .
Makala hii kuhusu "Lemuri-sufu" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili woolly lemur kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni lemuri-sufu . Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.
Cheirogaleidae Allocebus Lemuri kibete masikio-singa (A. trichotis )
Cheirogaleus Lemuri kibete masikio-manyoya (C. crossleyi ) · Lemuri kibete mkubwa (C. major ) · Lemuri kibete mkia-mnono (C. medius ) · Lemuri kibete kijivu (C. minusculus ) · Lemuri kibete wa Sibree (C. sibreei )
Microcebus Lemuri-panya wa Arnhold (M. arnholdi ) · Lemuri-panya wa Bibi Berthe (M. berthae ) · Lemuri-panya wa Bongolava (M. bongolavensis ) · Lemuri-panya wa Danfoss (M. danfossi ) · Lemuri-panya wa Gerp (M. gerpi ) · Lemuri-panya mwekundu (M. griseorufus ) · Lemuri-panya wa Jolly (M. jollyae ) · Lemuri-panya wa Goodman (M. lehilahytsara ) · Lemuri-panya wa MacArthur (M. macarthurii ) · Lemuri-panya wa Claire (M. mamiratra ) · Lemuri-panya wa Margot Marsh (M. margotmarshae ) · Lemuri-panya wa Marohita (M. harohita ) · Lemuri-panya wa Mittermeier (M. mittermeieri ) · Lemuri-panya kijivu (M. murinus ) · Lemuri-panya mdogo (M. myoxinus ) · Lemuri-panya hudhurungi (M. ravelobensis ) · Lemuri-panya kahawia (M. rufus ) · Lemuri-panya wa Sambirano (M. sambiranensis ) · Lemuri-panya wa Simmons (M. simmonsi ) · Lemuri-panya wa Anosy (M. tanosi ) · Lemuri-panya mwekundu kaskazi (M. tavaratra )
Mirza Lemuri-panya mkubwa kusi (M. coquereli ) · Lemuri-panya mkubwa kaskazi (M. zaza )
Phaner Lemuri baka-taga wa Mlima Kaharabu (P. electromontis ) · Lemuri baka-taga wa Masoala (P. furcifer ) · Lemuri baka-taga hudhurungi (P. pallescens ) · Lemuri baka-taga wa Pariente (P. parienti )
Daubentoniidae Daubentonia Ai-ai (D. madagascariensis )
Indriidae Avahi Lemuri-sufu wa Betsileo (A. betsileo ) · Lemuri-sufu wa Bemaraha (A. cleesei ) · Lemuri-sufu mashariki (A. laniger ) · Lemuri-sufu kusi (A. meridionalis ) · Lemuri-sufu wa Moore (A. mooreorum ) · Lemuri-sufu magharibi (A. occidentalis ) · Lemuri-sufu wa Peyrieras (A. peyrierasi ) · Lemuri-sufu wa Ramanantsoavana (A. ramanantsoavana ) · Lemuri-sufu wa Sambirano (A. unicolor )
Indri Indri (I. indri )
Propithecus Sifaka mweupe (P. candidus ) · Sifaka wa Coquerel (P. coquereli ) · Sifaka kichwa-cheusi (P. coronatus ) · Sifaka wa Decken (P. deckenii ) · Sifaka taji (P. diadema ) · Sifaka wa Milne-Edwards (P. edwardsi ) · Sifaka mweusi (P. perrieri ) · Sifaka utosi-dhahabu (P. tattersalli ) · Sifaka wa Verreaux (P. verreauxi )
Lemuridae Eulemur Lemuri kichwa-cheupe (E. albifrons ) · Lemuri ??? (E. collaris ) · Lemuri kichwa-kijivu (E. cinereiceps ) · Lemuri taji (E. coronatus ) · Lemuri paji-njano (E. flavifrons ) · Lemuri kahawia (E. fulvus ) · Lemuri mweusi (E. macaco ) · Lemuri-nguchiro (E. mongoz ) · Lemuri tumbo-jekundu (E. rubriventer ) · Lemuri paji-jekundu (E. rufifrons ) · Lemuri mwekundu (E. rufus ) · Lemuri wa Sanford (E. sanfordi )
Hapalemur Lemuri-mwanzi wa Alaotra (E. alaotrensis ) · Lemuri-mwanzi dhahabu (E. aureus ) · Lemuri-mwanzi wa Gilbert (E. gilberti ) · Lemuri-mwanzi mdogo mashariki (E. griseus ) · Lemuri-mwanzi mdogo kusi (E. meridionalis ) · Lemuri-mwanzi mdogo magharibi (E. occidentalis )
Lemur Lemuri mkia-miviringo (L. catta )
Prolemur Lemuri-mwanzi mkubwa (P. simus )
Varecia Lemuriukosi mwekundu (V. rubra ) · Lemuriukosi mweupe-na-mweusi (V. variegata )
Lepilemuridae Lepilemur Lemuri-spoti wa AEECL (L. aeeclis ) · Lemuri-spoti wa Ahmanson (L. ahmansoni ) · Lemuri-spoti wa Ankarana (L. ankaranensis ) · Lemuri-spoti wa Betsileo (L. betsileo ) · Lemuri-spoti mgongo-kijivu (L. dorsalis ) · Lemuri-spoti wa Milne-Edwards (L. edwardsi ) · Lemuri-spoti wa Fleurete (L. fleuretae ) · Lemuri-spoti wa Grewcock (L. grewcockorum ) · Lemuri-spoti wa Holland (L. hollandorum ) · Lemuri-spoti wa Hubbard (L. hubbardorum ) · Lemuri-spoti wa James (L. jamesorum ) · Lemuri-spoti miguu-myeupe (L. leucopus ) · Lemuri-spoti meno-madogo (L. microdon ) · Lemuri-spoti wa Daraina (L. milanoii ) · Lemuri-spoti wa Mittermeier (L. mittermeieri ) · Lemuri-spoti chororo (L. mustelinus ) · Lemuri-spoti wa Otto (L. otto ) · Lemuri-spoti wa Petter (L. petteri ) · Lemuri-spoti wa Randrianasolo (L. randrianasoloi ) · Lemuri-spoti mkia-mwekundu (L. ruficaudatus ) · Lemuri-spoti wa Sahamalaza (L. sahamalazensis ) · Lemuri-spoti wa Scott (L. scottorum ) · Lemuri-spoti wa Seal (L. seali ) · Lemuri-spoti kaskazi (L. septentrionalis ) · Lemuri-spoti wa Hawk (L. tymerlachsonorum ) · Lemuri-spoti wa Wright (L. wrightae )
Familia ya juu Lorisoidea
Lorisidae Galagidae Euoticus Komba kucha-sindano kusi (E. elegantulus ) · Komba kucha-sindano kaskazi (E. pallidus )
Galago Komba Somali (G. gallarum ) · Komba miwani (G. matschiei ) · Komba kusi (G. moholi ) · Komba magharibi (G. senegalensis ) · Komba miwani (G. matschiei )
Galagoides Komba mdogo wa Kenya (G. cocos ) · Komba mdogo wa Demidoff (G. demidovii ) · Komba mdogo wa Grant (G. granti ) · Komba mdogo wa Malawi (G. nyasae ) · Komba mdogo wa Uluguru (G. orinus ) · Komba mdogo wa Rondo (G. rondoensis ) · Komba mdogo wa Thomas (G. thomasi ) · Komba mdogo wa pwani (G. zanzibaricus )
Otolemur Komba-miyombo (O. crassicaudatus ) · Komba mkubwa kaskazi (O. garnettii ) · Komba mkubwa wa Kavirondo (O. monteiri )
Sciurocheirus Komba-kindi wa Allen (S. alleni ) · Komba-kindi wa Gaboni (S. gabonensis ) · Komba-kindi wa Makande (S. makandensis )
Oda ndogo Platyrrhini
Atelidae Alouatta Ursine howler (A. arctoidea ) · Red-handed howler (A. belzebul ) · Black howler (A. caraya ) · Coiba Island howler (A. coibensis ) · Spix's red-handed howler (A. discolor ) · Brown howler (A. guariba ) · Juruá howler (A. juara ) · Guyanan red howler (A. macconnelli ) · Amazon black howler (A. nigerrima ) · Mantled howler (A. palliata ) · Guatemalan black howler (A. pigra ) · Purus red howler (A. puruensis ) · Bolivian red howler (A. sara ) · Venezuelan red howler (A. seniculus ) · Maranhão red howler (A. ululata )
Ateles White-fronted spider monkey (A. belzebuth ) · Peruvian spider monkey (A. chamek ) · Black-headed spider monkey (A. fusciceps ) · Geoffroy's spider monkey (A. geoffroyi ) · Brown spider monkey (A. hybridus ) · White-cheeked spider monkey (A. marginatus ) · Red-faced spider monkey (A. paniscus )
Brachyteles Southern muriqui (B. arachnoides ) · Northern muriqui (B. hypoxanthus )
Lagothrix Grey woolly monkey (L. cana ) · Brown woolly monkey (L. lagotricha ) · Colombian woolly monkey (L. lugens ) · Silvery woolly monkey (L. poeppigii )
Oreonax Yellow-tailed woolly monkey (O. flavicauda )
Cebidae Pitheciidae
Oda ndogo Catarrhini
Cercopithecidae Allenopithecus Kima wa Allen (A. nigroviridis )
Cercocebus Kaku kijivu (C. agilis ) · Kaku mweusi (C. atys ) · Kaku tumbo-dhahabu (C. chrysogaster ) · Kaku wa Tana (C. galeritus ) · Kaku wa Sanje (C. sanjei ) · Kaku utosi-mwekundu (C. torquatus )
Cercopithecus Kima koo-jeupe (C. albogularis ) · Kima mkia-mwekundu (C. ascanius ) · Kima wa Campbell (C. campbelli ) · Kima masharubu (C. cephus ) · Kima wa Dent (C. denti ) · Kima wa Diana (C. diana ) · Kima fedha (C. doggetti ) · Kima wa Kongo (C. dryas ) · Kima tumbo-jekundu (C. erythrogaster ) · Kima masikio-mekundu (C. erythrotis ) · Kima uso-bundi (C. hamlyni ) · Kima mgongo-dhahabu (C. kandti ) · Kima wa L'Hoest (C. lhoesti ) · Kima lesula (C. lomamiensis ) · Kima wa Lowe (C. lowei ) · Kima buluu (C. mitis ) · Kima wa Mona (C. mona ) · Karasinga (C. neglectus ) · Kima pua-nyeupe (C. nictitans ) · Kima pua-doa (C. petaurista ) · Kima ushungi (C. pogonias ) · Kima wa Preuss (C. preussi ) · Kima wa Roloway (C. roloway ) · Kima wa Sclater (C. sclateri ) · Kima matako-madoa (C. solatus ) · Kima wa Wolf (C. wolfi )
Chlorocebus Ngedere Habeshi (
C. aethiops )
· Ngedere wa Kongo (
C. cynosuros )
· Ngedere wa Bale (C. djamdjamensis ) · Ngedere mashariki (
C. pygerythrus )
· Ngedere magharibi (
C. sabaeus )
· Ngedere wa Afrika wa Kati (
C. tantalus )
Colobus Mbega mweupe kusi (C. angolensis ) · Mbega mweupe mashariki (C. guereza ) · Mbega mfalme (C. polykomos ) · Mbega mweusi (C. satanas ) · Mbega mapaja-meupe (C. vellerosus )
Erythrocebus Kima mwekundu (E. patas )
Lophocebus Kaku mashavu-kijivu (L. albigena ) · Babakoto (L. aterrimus ) · Kaku wa Johnston (L. johnstoni ) · Kaku wa Opdenbosch (L. opdenboschi ) · Kaku wa Kilima Osmani (L. osmani ) · Kaku wa Uganda (L. ugandae )
Macaca Mandrillus Miopithecus Kima wa Gaboni (M. ogouensis ) · Kima wa Angola (M. talapoin )
Nasalis Papio Nyani gelada (T. gelada )
Piliocolobus Mbega mwekundu magharibi (P. badius ) · Mbega wwekundu wa Afrika ya Kati (P. foai ) · Mbega mwekundu wa Udzungwa (P. gordonorum ) · Mbega mwekundu wa Unguja (P. kirkii ) · Mbega mwekundu wa Pennant (P. pennantii ) · Mbega mwekundu wa Preuss (P. preussi ) · Mbega mwekundu wa Tana (P. rufomitratus ) · Mbega mwekundu wa Uganda (P. tephrosceles ) · Mbega mwekundu wa Chuapa (P. tholloni )
Presbytis Procolobus Mbega kijanikijivu (P. verus )
Pygathrix Rhinopithecus Rungwecebus Kaku kipunji (R. kipunji )
Semnopithecus Simias Trachypithecus
Hylobatidae Hominidae Gorilla Ngagi mashariki (G. beringei ) · Ngagi magharibi (G. gorilla )
Homo Pan Pongo Orangutanu wa Sumatra (P. abelii ) · Orangutanu wa Borneo (P. pygmaeus )
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc .