Komba
|
Komba magharibi (Galago senegalensis)
|
Uainishaji wa kisayansi
|
Domeni:
|
Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
|
Himaya:
|
Animalia (Wanyama)
|
Faila:
|
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli:
|
Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Oda:
|
Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
|
Nusuoda:
|
Strepsirrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na lemuri)
|
Oda ya chini:
|
Lorisiformes (Wanyama kama poto)
|
Familia:
|
Galagidae (Wanyama walio na mnasaba na komba) Gray, 1825
|
|
Ngazi za chini
|
Jenasi 5:
|
Komba ni wanyama wadogo wa familia Galagidae. Wamo miongoni mwa wanyama wa asili wa jamaa ya binadamu. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara.
Hukiakia usiku na hulala mchana katika matundu ya miti. Kwa ajili hiyo wana macho makubwa ili kuona vizuri kwenye giza. Hata masikio yao ni makubwa ili kusikia mawindo yao na hata maadui wao. Mkia mrefu wao huzuia wasiyumbe wakitembea juu ya matawi. Wanaweza kuruka sana, hadi mita 2 kwa wima. Wana makucha kama yale ya watu, isipokuwa lile la kidole cha pili cha miguu ambao ni mrefu wenye ncha kali na hutumika kwa kusafisha manyoya. Hula wadudu, wanyama wadogo, matunda na sandarusi.
Picha
-
Komba kusi
-
Komba mdogo wa Grant
-
Komba-miyombo
-
Komba mkubwa kaskazi
|
---|
|
|
|
---|
Cheirogaleidae | Allocebus | Lemuri kibete masikio-singa (A. trichotis) |
---|
Cheirogaleus | Lemuri kibete masikio-manyoya (C. crossleyi) · Lemuri kibete mkubwa (C. major) · Lemuri kibete mkia-mnono (C. medius) · Lemuri kibete kijivu (C. minusculus) · Lemuri kibete wa Sibree (C. sibreei) |
---|
Microcebus | Lemuri-panya wa Arnhold (M. arnholdi) · Lemuri-panya wa Bibi Berthe (M. berthae) · Lemuri-panya wa Bongolava (M. bongolavensis) · Lemuri-panya wa Danfoss (M. danfossi) · Lemuri-panya wa Gerp (M. gerpi) · Lemuri-panya mwekundu (M. griseorufus) · Lemuri-panya wa Jolly (M. jollyae) · Lemuri-panya wa Goodman (M. lehilahytsara) · Lemuri-panya wa MacArthur (M. macarthurii) · Lemuri-panya wa Claire (M. mamiratra) · Lemuri-panya wa Margot Marsh (M. margotmarshae) · Lemuri-panya wa Marohita (M. harohita) · Lemuri-panya wa Mittermeier (M. mittermeieri) · Lemuri-panya kijivu (M. murinus) · Lemuri-panya mdogo (M. myoxinus) · Lemuri-panya hudhurungi (M. ravelobensis) · Lemuri-panya kahawia (M. rufus) · Lemuri-panya wa Sambirano (M. sambiranensis) · Lemuri-panya wa Simmons (M. simmonsi) · Lemuri-panya wa Anosy (M. tanosi) · Lemuri-panya mwekundu kaskazi (M. tavaratra) |
---|
Mirza | Lemuri-panya mkubwa kusi (M. coquereli) · Lemuri-panya mkubwa kaskazi (M. zaza) |
---|
Phaner | Lemuri baka-taga wa Mlima Kaharabu (P. electromontis) · Lemuri baka-taga wa Masoala (P. furcifer) · Lemuri baka-taga hudhurungi (P. pallescens) · Lemuri baka-taga wa Pariente (P. parienti) |
---|
|
---|
Daubentoniidae | Daubentonia | Ai-ai (D. madagascariensis) |
---|
|
---|
Indriidae | Avahi | Lemuri-sufu wa Betsileo (A. betsileo) · Lemuri-sufu wa Bemaraha (A. cleesei) · Lemuri-sufu mashariki (A. laniger) · Lemuri-sufu kusi (A. meridionalis) · Lemuri-sufu wa Moore (A. mooreorum) · Lemuri-sufu magharibi (A. occidentalis) · Lemuri-sufu wa Peyrieras (A. peyrierasi) · Lemuri-sufu wa Ramanantsoavana (A. ramanantsoavana) · Lemuri-sufu wa Sambirano (A. unicolor) |
---|
Indri | Indri (I. indri) |
---|
Propithecus | Sifaka mweupe (P. candidus) · Sifaka wa Coquerel (P. coquereli) · Sifaka kichwa-cheusi (P. coronatus) · Sifaka wa Decken (P. deckenii) · Sifaka taji (P. diadema) · Sifaka wa Milne-Edwards (P. edwardsi) · Sifaka mweusi (P. perrieri) · Sifaka utosi-dhahabu (P. tattersalli) · Sifaka wa Verreaux (P. verreauxi) |
---|
|
---|
Lemuridae | Eulemur | Lemuri kichwa-cheupe (E. albifrons) · Lemuri ??? (E. collaris) · Lemuri kichwa-kijivu (E. cinereiceps) · Lemuri taji (E. coronatus) · Lemuri paji-njano (E. flavifrons) · Lemuri kahawia (E. fulvus) · Lemuri mweusi (E. macaco) · Lemuri-nguchiro (E. mongoz) · Lemuri tumbo-jekundu (E. rubriventer) · Lemuri paji-jekundu (E. rufifrons) · Lemuri mwekundu (E. rufus) · Lemuri wa Sanford (E. sanfordi) |
---|
Hapalemur | Lemuri-mwanzi wa Alaotra (E. alaotrensis) · Lemuri-mwanzi dhahabu (E. aureus) · Lemuri-mwanzi wa Gilbert (E. gilberti) · Lemuri-mwanzi mdogo mashariki (E. griseus) · Lemuri-mwanzi mdogo kusi (E. meridionalis) · Lemuri-mwanzi mdogo magharibi (E. occidentalis) |
---|
Lemur | Lemuri mkia-miviringo (L. catta) |
---|
Prolemur | Lemuri-mwanzi mkubwa (P. simus) |
---|
Varecia | Lemuriukosi mwekundu (V. rubra) · Lemuriukosi mweupe-na-mweusi (V. variegata) |
---|
|
---|
Lepilemuridae | Lepilemur | Lemuri-spoti wa AEECL (L. aeeclis) · Lemuri-spoti wa Ahmanson (L. ahmansoni) · Lemuri-spoti wa Ankarana (L. ankaranensis) · Lemuri-spoti wa Betsileo (L. betsileo) · Lemuri-spoti mgongo-kijivu (L. dorsalis) · Lemuri-spoti wa Milne-Edwards (L. edwardsi) · Lemuri-spoti wa Fleurete (L. fleuretae) · Lemuri-spoti wa Grewcock (L. grewcockorum) · Lemuri-spoti wa Holland (L. hollandorum) · Lemuri-spoti wa Hubbard (L. hubbardorum) · Lemuri-spoti wa James (L. jamesorum) · Lemuri-spoti miguu-myeupe (L. leucopus) · Lemuri-spoti meno-madogo (L. microdon) · Lemuri-spoti wa Daraina (L. milanoii) · Lemuri-spoti wa Mittermeier (L. mittermeieri) · Lemuri-spoti chororo (L. mustelinus) · Lemuri-spoti wa Otto (L. otto) · Lemuri-spoti wa Petter (L. petteri) · Lemuri-spoti wa Randrianasolo (L. randrianasoloi) · Lemuri-spoti mkia-mwekundu (L. ruficaudatus) · Lemuri-spoti wa Sahamalaza (L. sahamalazensis) · Lemuri-spoti wa Scott (L. scottorum) · Lemuri-spoti wa Seal (L. seali) · Lemuri-spoti kaskazi (L. septentrionalis) · Lemuri-spoti wa Hawk (L. tymerlachsonorum) · Lemuri-spoti wa Wright (L. wrightae) |
---|
|
---|
|
|
Familia ya juu Lorisoidea |
---|
Lorisidae | |
---|
Galagidae | Euoticus | Komba kucha-sindano kusi (E. elegantulus) · Komba kucha-sindano kaskazi (E. pallidus) |
---|
Galago | Komba Somali (G. gallarum) · Komba miwani (G. matschiei) · Komba kusi (G. moholi) · Komba magharibi (G. senegalensis) · Komba miwani (G. matschiei) |
---|
Galagoides | Komba mdogo wa Kenya (G. cocos) · Komba mdogo wa Demidoff (G. demidovii) · Komba mdogo wa Grant (G. granti) · Komba mdogo wa Malawi (G. nyasae) · Komba mdogo wa Uluguru (G. orinus) · Komba mdogo wa Rondo (G. rondoensis) · Komba mdogo wa Thomas (G. thomasi) · Komba mdogo wa pwani (G. zanzibaricus) |
---|
Otolemur | Komba-miyombo (O. crassicaudatus) · Komba mkubwa kaskazi (O. garnettii) · Komba mkubwa wa Kavirondo (O. monteiri) |
---|
Sciurocheirus | Komba-kindi wa Allen (S. alleni) · Komba-kindi wa Gaboni (S. gabonensis) · Komba-kindi wa Makande (S. makandensis) |
---|
|
---|
|
|
|
|
|
Oda ndogo Platyrrhini |
---|
Atelidae | Alouatta | Ursine howler (A. arctoidea) · Red-handed howler (A. belzebul) · Black howler (A. caraya) · Coiba Island howler (A. coibensis) · Spix's red-handed howler (A. discolor) · Brown howler (A. guariba) · Juruá howler (A. juara) · Guyanan red howler (A. macconnelli) · Amazon black howler (A. nigerrima) · Mantled howler (A. palliata) · Guatemalan black howler (A. pigra) · Purus red howler (A. puruensis) · Bolivian red howler (A. sara) · Venezuelan red howler (A. seniculus) · Maranhão red howler (A. ululata) |
---|
Ateles | White-fronted spider monkey (A. belzebuth) · Peruvian spider monkey (A. chamek) · Black-headed spider monkey (A. fusciceps) · Geoffroy's spider monkey (A. geoffroyi) · Brown spider monkey (A. hybridus) · White-cheeked spider monkey (A. marginatus) · Red-faced spider monkey (A. paniscus) |
---|
Brachyteles | Southern muriqui (B. arachnoides) · Northern muriqui (B. hypoxanthus) |
---|
Lagothrix | Grey woolly monkey (L. cana) · Brown woolly monkey (L. lagotricha) · Colombian woolly monkey (L. lugens) · Silvery woolly monkey (L. poeppigii) |
---|
Oreonax | Yellow-tailed woolly monkey (O. flavicauda) |
---|
|
---|
Cebidae | |
---|
Pitheciidae | |
---|
|
|
Oda ndogo Catarrhini |
---|
Cercopithecidae | Allenopithecus | Kima wa Allen (A. nigroviridis) |
---|
Cercocebus | Kaku kijivu (C. agilis) · Kaku mweusi (C. atys) · Kaku tumbo-dhahabu (C. chrysogaster) · Kaku wa Tana (C. galeritus) · Kaku wa Sanje (C. sanjei) · Kaku utosi-mwekundu (C. torquatus) |
---|
Cercopithecus | Kima koo-jeupe (C. albogularis) · Kima mkia-mwekundu (C. ascanius) · Kima wa Campbell (C. campbelli) · Kima masharubu (C. cephus) · Kima wa Dent (C. denti) · Kima wa Diana (C. diana) · Kima fedha (C. doggetti) · Kima wa Kongo (C. dryas) · Kima tumbo-jekundu (C. erythrogaster) · Kima masikio-mekundu (C. erythrotis) · Kima uso-bundi (C. hamlyni) · Kima mgongo-dhahabu (C. kandti) · Kima wa L'Hoest (C. lhoesti) · Kima lesula (C. lomamiensis) · Kima wa Lowe (C. lowei) · Kima buluu (C. mitis) · Kima wa Mona (C. mona) · Karasinga (C. neglectus) · Kima pua-nyeupe (C. nictitans) · Kima pua-doa (C. petaurista) · Kima ushungi (C. pogonias) · Kima wa Preuss (C. preussi) · Kima wa Roloway (C. roloway) · Kima wa Sclater (C. sclateri) · Kima matako-madoa (C. solatus) · Kima wa Wolf (C. wolfi) |
---|
Chlorocebus | Ngedere Habeshi ( C. aethiops) · Ngedere wa Kongo ( C. cynosuros) · Ngedere wa Bale (C. djamdjamensis) · Ngedere mashariki ( C. pygerythrus) · Ngedere magharibi ( C. sabaeus) · Ngedere wa Afrika wa Kati ( C. tantalus) |
---|
Colobus | Mbega mweupe kusi (C. angolensis) · Mbega mweupe mashariki (C. guereza) · Mbega mfalme (C. polykomos) · Mbega mweusi (C. satanas) · Mbega mapaja-meupe (C. vellerosus) |
---|
Erythrocebus | Kima mwekundu (E. patas) |
---|
Lophocebus | Kaku mashavu-kijivu (L. albigena) · Babakoto (L. aterrimus) · Kaku wa Johnston (L. johnstoni) · Kaku wa Opdenbosch (L. opdenboschi) · Kaku wa Kilima Osmani (L. osmani) · Kaku wa Uganda (L. ugandae) |
---|
Macaca | |
---|
Mandrillus | |
---|
Miopithecus | Kima wa Gaboni (M. ogouensis) · Kima wa Angola (M. talapoin) |
---|
Nasalis | |
---|
Papio | Nyani gelada (T. gelada) |
---|
Piliocolobus | Mbega mwekundu magharibi (P. badius) · Mbega wwekundu wa Afrika ya Kati (P. foai) · Mbega mwekundu wa Udzungwa (P. gordonorum) · Mbega mwekundu wa Unguja (P. kirkii) · Mbega mwekundu wa Pennant (P. pennantii) · Mbega mwekundu wa Preuss (P. preussi) · Mbega mwekundu wa Tana (P. rufomitratus) · Mbega mwekundu wa Uganda (P. tephrosceles) · Mbega mwekundu wa Chuapa (P. tholloni) |
---|
Presbytis | |
---|
Procolobus | Mbega kijanikijivu (P. verus) |
---|
Pygathrix | |
---|
Rhinopithecus | |
---|
Rungwecebus | Kaku kipunji (R. kipunji) |
---|
Semnopithecus | |
---|
Simias | |
---|
Trachypithecus | |
---|
|
---|
Hylobatidae | |
---|
Hominidae | Gorilla | Ngagi mashariki (G. beringei) · Ngagi magharibi (G. gorilla) |
---|
Homo | |
---|
Pan | |
---|
Pongo | Orangutanu wa Sumatra (P. abelii) · Orangutanu wa Borneo (P. pygmaeus) |
---|
|
---|
|
|
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.