Historia ya Moldova inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Moldova.
Kwa kiasi kikubwa historia ya Moldova inahusiana na ile ya Romania kwa kuwa ni taifa moja kwa utamaduni, lugha na dini.
Baada ya vita vikuu vya kwanza Moldova ilikuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti kwa jina la Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimoldova hadi ilipopata uhuru wake tarehe 27 Agosti 1991.
Historia ya Ulaya | |
---|---|
Nchi huru | Albania · Andorra · Armenia1 · Austria · Azerbaijan1 · Belarusi · Bosnia na Herzegovina · Bulgaria · Udeni · Estonia · Georgia1 · Hispania · Hungaria · Isilandi · Eire · Italia · Kazakhstan2 · Kroatia · Kupro1 · Latvia · Liechtenstein · Lituanya · Luxemburg · Malta · Masedonia Kaskazini · Moldova · Monako · Montenegro · Norwei · Polandi · Romania · San Marino · Serbia · Slovakia · Slovenia · Ubelgiji · Ucheki · Ufalme wa Muungano · Ufaransa · Ufini · Ugiriki · Uholanzi · Ujerumani · Ukraine · Ureno · Urusi2 · Uswidi · Uswisi · Uturuki2
|
Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa | Abkhazia1 · Kosovo · Kupro ya Kaskazini1 · Ossetia ya Kusini1 · Transnistria |
Maeneo yanayojitawala chini ya nchi nyingine | Akrotiri na Dhekelia1 · Åland · Azori · Faroe · Gibraltar · Guernsey · Jan Mayen · Jersey · Madeira · Man · Svalbard |
1 nchi ya Asia ya Magharibi kijiografia ambayo huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya kiutamaduni 2 nchi ya kimabara |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Moldova kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |