Dekamita ni kipimo cha urefu wa sentimita 10 ambao ni sawa na mita 0.1. Kifupi chake ni dam[1].
Kipimo hicho si kawaida sana isipokuwa katika metorolojia ambapo shinikizo la hewa hutajwa mara nyingi kulingana na kimo cha dekamita.[2]
Dekamita kwa mraba ni eneo la "are" moja ambao ni mita 10x10 au m2 100.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dekamita kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |