Mt. Aurea katika mchoro wa ukutani.

Aurea wa Paris (Syria, karne ya 7[1]; Paris, leo nchini Ufaransa, 4 Oktoba 666[2][3][4]) alikuwa abesi wa kwanza wa monasteri ya mabikira 300 iliyofuata kanuni ya Mt. Kolumbani huko Paris.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Oktoba[5]..

Tazama pia

Tanbihi

  1. Toussaint-Michel Binet : La Chronologie et la Topographie du Nouveau Bréviaire de Paris, Paris, Cl. J. B. Herissant (Claude-Jean-Baptiste Herissant), 1742.
  2. Abbé Pétin, Dictionnaire hagiographique, vies des saints et des bienheureux, tome I, Paris, 1850, p. 326-327 [1]
  3. Le martyrologe romain fait mémoire de Sainte Aure, Magnificat n. 239, October 2012, p. 72
  4. http://nominis.cef.fr/contenus/saint/1960/Sainte-Aure.html
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.