Abesi (kutoka Kiingereza: abbess; pia: abatisa kutoka Kilatini abbatissa) ni cheo cha mmonaki wa kike anayeongoza monasteri kamili; kwa namna fulani kinalingana na kile cha abati na mara nyingi anavaa kama huyo msalaba kifuani kama ishara ya mamlaka yake.
Abesi ni kwa masista wake mama na mwalimu katika safari ya Kiroho. Kwa ajili hiyo anaongoza sala ya jumuia, anagawa majukumu na anasamehe utekelezaji wa vipengele fulanifulani hasa kwa walio wagonjwa.
|archiveurl=
na |archive-url=
specified (help); More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate=
(help) .
.
.
.
.
|date=, |accessdate=
(help)![]() |
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abesi kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |