Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Novemba ni siku ya 311 ya mwaka (ya 312 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 54.
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Prosdosimi, Atenodori, Amaranti, Geroni na wenzake, Erkolano wa Perugia, Florensi wa Strasbourg, Wilibrodi, Engelbert wa Cologne, Yasinto Castenyeda, Vinsenti Liem Pham Hieu, Petro Wu Guosheng, Vinsenti Grossi n.k.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |