Zainabu Mussa Bakar (amezaliwa tarehe 3 Februari 1985) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalumu kwa miaka 2015 – 2020. [1]