Wizara ya Uchukuzi (Kiingereza: Ministry of Transport) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.