Wilaya ya Mtama ni wilaya moja ya Mkoa wa Lindi. Hadi maka 2019 iliitwa Lindi Vijijini[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 215,764 [2]. Misimbo ya posta huanza kwa namba 652.
Mwaka 2019 rais Magufuli aliagiza makao makuu yajengwe Mtama na wilaya iitwe pia Mtama[3].
Kata za Wilaya ya Mtama - Tanzania | ||
---|---|---|
Chiponda | Kiwalala | Longa | Majengo | Mandwanga | Mnara | Mnolela | Mtama | Mtua | Mtumbya | Nachunyu | Nahukahuka | Namangale | Namupa | Navanga | Nyangamara | Nyangao | Nyengedi | Pangatena | Sudi |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mtama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |