Jimbo la Laghouat | |
ولاية الأغواط | |
Ramani ya Algeria imekoozeshwa katika Jimbo la Laghouat | |
Kodi ya Jimbo | 3 |
Kodi ya Eneo | +213 (0) 29 |
Ngazi ya Utawala | |
Wilaya | 10 |
Manispaa | 24 |
Takwimu za Msingi | |
Eneo | 25,057 km² (9,675 sq mi) |
Idadi ya wakazi | 477,328[1] (2008) |
Density | 19.0/km² (49,3/sq mi) |
Laghouat (Kiarabu:ولاية الأغواط) ni jina la jimbo lililopo katikati ya nchi ya Algeria. Jina linamaanisha "sehemu mwanana". Mji mkuu wa jimbo hili ni Laghouat. Wilaya za karibu na jimbo hapa ni pamoja na Aflou, Ain Madhi, Kourdane na Makhareg.
Jimbo limegawanyika katika tarafa 10 na manispaa 24. Tarafa zake:
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Laghouat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |