Victor Kilasile Mwambalaswa (amezaliwa tar. 8 Mei 1953) ni mbunge wa jimbo la Lupa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Victor Kilasile Mwambalaswa". 17 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.