Valensi (kwa Kiingereza: valency au valence) ni istilahi ya kemia inayotaja nguvu ya atomu ya kuunda muungo kemia na atomu nyingine. Inataja idadi ya miungo inayoweza kuundwa baina ya atomu ya elementi fulani pamoja na hidrojeni (iliyo elementi sahili zaidi).
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Valensi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |