Umakanika (kutoka Kigiriki cha Kale: μηχανική, mēkhanikḗ, yaani "ya mashine"[1][2]) ni eneo la hisabati na la fizikia linalochunguza mahusiano kati ya kani, mata na mwendo katika vitu[3].
Unagawanyika katika:
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Umakanika kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |