Wizara wa Afya ya Kenya imeandika habari ya virusii ya Corona.
Ugonjwa wa virusii ya corona ni mgonjwa mpya inaenezwa mbiombio
Virusii ya corona inapatikana kutoka tone la mtu ana kikohozi, au kutoka vitu vimenajisi
Dalili ya virusii ya corona ni homa, kikohozi, kuumwa kichwa, kuumwa mwili na kupumwa na shida
Kuzuia ugonjwa wa virusii ya corona
Safisha mikono na sabuni na maji, au na usafisho ina ugimbi
Kaa mbali na mtu mwenye dalili ya mafua
Usi peana mkono, usihike, na usinonea mtu ana dalili ya mafua
Usitoke nyumbani na usisafiri ukiwa na dalili ya mafua
Virusii ikidundua mapema, na mtu akipata matibabu mapema ana nafasi kubwa wa kupona
Virusii mpya ya corona haiwezi kupatikana kutoka hewa
Ushauri huu inafanana ushauri wa Shirika za Afya Duniani (WHO)[2]. Kusoma tafsiri ya ushauri wa tabia nzuri wa Shirika za Afya Duniani kwa Kiswahili angalia ukurasa wa ushauri wa ugonjwa wa Corona ya Shirika la Afya Duniani.