Matope kwenye gari huitwa uchafu.
Vumbi linalokusanyika ndani ya kompyuta huwa uchafu.

Uchafu ni yale yanayosababisha kitu au mtu kukosa usafi. Kwa kawaida ni vitu kama vile vumbi, matope, kinyesi au mabaki ya chakula. Kwa Kiswahili "uchafu" unaweza kumaanisha pia hali ya kukosa usafi wa kimaadili au wa kiroho.

Kama mata fulani inatazamwa kuwa "chafu" hutegemea wakati, mahali na utamaduni wa mtazamaji. Kwa mtazamo huo uchafu ni mata inayopatikana mahali pasipotakiwa na wakati usiotakiwa. Kwa mfano:

Kujisomea

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchafu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.