Hii ni timu ya mpira wa miguu ya Michigan Wolverines.
Hii ni timu ya mainjinia.

Timu (kutoka Kiingereza "team") ni kundi la watu wanaofanya kazi ili kufikia lengo la pamoja.

Wanachama wa timu wanahitaji kujifunza jinsi ya kusaidiana, kusaidia wanachama wengine wa timu, kutambua uwezo wao kwa kila mmoja, na kujenga mazingira ambayo yanaruhusu kila mtu awe anajua umuhimu wake, hata kama timu ndogo za sekondari ni za muda mfupi.

Tanbihi

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Timu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.