Taska Restituta Mbogo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1] Amehitimu shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania [1]