Tao la Mashariki ni mfululizo wa milima na safu za milima unaopatikana nchini Tanzania na pia Kenya Kusini.
Ndiyo milima ya zamani zaidi katika Afrika Mashariki ikiwa na miaka walau milioni mia.
Ni kama ifuatavyo:[1]
Mazingira hayo ni ya pekee upande wa viumbehai[2].
((cite web))
: Unknown parameter |deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tao la Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |