Susan Limbweni Kiwanga ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mlimba kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017