Suleiman Omar Kumchaya (amezaliwa tar. 11 Mei 1952) ni mbunge wa jimbo la Lulindi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.