Stephen Julius Masele (amezaliwa 1 Oktoba 1979) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Shinyanga Mjini kwa miaka 2015 – 2020. [1]